bayyinaat

Published time: 22 ,September ,2018      14:53:43
News ID: 342

بسم الله الرحمن الرحیم

Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema mwenye kurehemu


Mahusiano kati ya binadamu mwingine husimamia ushirikiano, na kubadilishana umuhimu na hisia na mawazo , na ili uhusiano unaendelea milele na daima yawapasa kila mmoja kumfanya mwenziwe hilo.
Asili ya wanawake ni suala nyeti na mwenye hisia na kutoa kipaumbele katika uhusiano wake na pamoja na hisia ya mwanaume, na anahitaji kukidhi mahitaji yake ya kushibisha hisia yake kwa kushirikiana na kuridhika na ampendaye.
Asili ya mwanadamu ni tofauti na hayo, kwani mwanaume wa kazi kwa asili yake huyapa kipaumbele matendo yake na maamuzi yake upande wa kiakili na kuyashinda na kuonyesha hisia zake kwa njia nyingine ya kikazi, mara nyingi haitikii mahitaji ya mwanamke ampendaye. Ndio maana mara nyingi husikika malalamiko na kutokea majadiliano ya wanawake kuhusu malalamiko makubwa ambayo kiini chake ni kwamba: "Mussa hanijali, Mussa hanipendi kama nimpendavyo”.
Yampasa mwanamke kuwa mwerevu katika muamala wake na kumjia mwanamume kwa kuingilia kile akipendacho ili apate kumvutia kwa kiasi ambacho hukitarajia, asitafute mapenzi ya mumewe na ilihali ni mwingi wa mashitaka, ya kwamba hamjali na kwamba anajali kazi zake na marafiki zake kuliko yeye, na mashitaka mengine mengi mfano wa hizo ambazo huwa ni sababu na chanzo cha hayo.
Yampasa Mke kuzuia hisia zake sana, kwani asili ya mtu hujitenga au kujihini na kitu ambacho kiko mbele yake kwa kuwa kwake muda mrefu, au kama wasemavyo: (jikaze) hadi atakapokuomba na kukuhitajia na akahisi thamani yake, kwani kila ujitengapo naye ndipo hujaribu kutafuta ukuruba kwako zaidi, lakini usijitenge mbali naye sana kiasi kwamba ukaja kumpoteza na kumkosa mpenzi wako. Kuwa mwerevu.
Ikiwa daima ni mwepesi wa kuuliza na kufanya mawasiliano na kutaka kusikilizwa basi jaribu kupunguza hayo, ili achanganue mwenyewe na kujiuliza na yeye ndiye awe wa kwanza kukuuliza na kutafuta ukuruba kwani mwanaume ni mtoto mkubwa kama wasemavyo wahenga.
tarika za mwanaume kudhihirisha wake upendo hutafautiana na mwanamke, mwanamke huonyesha kwa maneno ya mawada na shauku na hisia zake kali na kujali kwa mno zaidi ya mwanaume, lakini mwanaume huonyesha kwa kujali na mapenzi yake kwa njia nyingine, kuwa kwake mfano kukidhi mahitaji ya nyumbani na kutimiza mahitaji ya mke wake hasa, anasimama kumfikia pale apapendapo na kumruhusu kutembelea ndugu zake na rafiki zake na hii ni dalili ya yeye kumjali kwake na upendo wake.
Huenda mahitaji ya mwanamke kuwa ni mzigo kwa mumewe au mwingi wa mashitaka ya mara kwa mara na kumtoa aibu, jambo ambalo huwa humkera mwanaume kwa wingi na malalamiko ambayo hajui ni namna gani ya kuamiliana naye, hivyo huanza kujiweka mbali kwa sababu ya matatizo haya, hivyo ewe mwanamke; usiwe mke mwonyesha upendo katika hilo kisha kuanzisha malalamiko.
Usijilinganishe wewe pamoja na mumeo kwa wanawake wengine, kwani wewe huona ukweli kamili, na huenda wewe ni mwenye hali nzuri zaidi kuliko wengine. Hivyo zidisha kufanya maombi ili Mwenyezi Mungu akuunganishe pamoja na mumeo.

----------------------


maoni Viewers
Name:
Email:
* Opinion: