Lakini ndugu msomaji, swala la muhimu kujua hapa ni kwamba, Uislamu ambao unamaanishwa na pia ulikuwa katika kila dini ni upi? Maana isije tukaelewa vibaya na mwisho wake tukaangukia katika janga kubwa la kupinga dini nyinginezo na kusema kwamba hazijulikani kwa Mwenyezi Mungu.......