Katika aya hii tunafahamu ya kwamba husuda ni katika sifa mbaya mno, na ndio maana Mwenyezi Mungu ameiweka miongoni mwa mambo ambayo tunatakiwa tujikinge nayo.
Imepokelewa riwaya kutoka kwa Imamu Sadiq as akisema “ hakika husuda humaliza imani ya mja kama ambavyo moto humaliza kuni ziwakazo”......