bayyinaat

Sheria
Tabia
KUTUMIA AKILI KATIKA KUAMUA AU KUPANGA MAMBO
Akili ya kweli ni nuru katika uwepo wa mwanadamu. Katika mafundisho ya Uisilamu, akili inahesabiwa kwamba, ni Mtume wa ndani wa mtu.
UVIVU
Kwa kawaida, wavivu, wenye kuchoka na wasio na subira ni kwa sababu hawana uvumilivu wa kufanya kazi na ilihali wakati huo wanataka kupata matokeo mengi ya mapema, kamwe hakuna chochote kizuri watakachokifanya ikiwa kazi zenyewe huishia njiani
SADAKA NA FAIDA ZAKE

(SEHEMU YA SITA)
“Na mfano wa wale wanao toa mali zao kwa kuitafuta radhi ya Mwenyezi Mungu na kuzipa nguvu roho zao ni kama mfano wa bustani iliyo mahali pa juu, ikaifikia mvua kubwa na ikaleta mazao yake mardufu; na hata kama haifikiwi na mvua kubwa basi manyunyu hutosha. Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayotenda”.
SADAKA NA FAIDA ZAKE

SEHEMU YA TANO
Katika Aya hii imeashiriwa uhakika huu ya kwamba watu wenye imani utoaji wa sadaka kwa njia ya Mwenyezi Mungu ambazo zinaambatana na masimango na adha, ni batili na isiyo na thamani.
SADAKA NA FAIDA ZAKE

(SEHEMU YA NNE)
"Na wapewe mafakiri walio zuilika katika njia za Mwenyezi Mungu, wasio weza kusafiri katika nchi kutafuta riziki. Asiye wajua hali zao huwadhania kuwa ni matajiri kwa sababu ya kujizuia kwao. Utawatambua kwa alama zao; hawang'ang'analii watu kwa kuwaomba. Na kheri yoyote mnayotoa, basi kwa yakini Mwenyezi Mungu anaijua”
1