MAHOJIANO.
Moja ya maswala ya kawaida katika jamii za kimagharibi ni ubaguzi wa rangi na kutowajali weusi na haki zao.
Kwa kweli hii nikawaida huko marekani kuliko nchi yeyote huko magharibi. Wakati huo huo maafisa wa marekani wanasisitiza kila mara haki za binadamu.
Elimu: awali ya yote tutaanza kuelezea maana ya Elimu, ambapo kuna maana tofauti ziliolezwa kunako suala zima la kuitambulisha neno Elimu, nami nitajaribu kuashiria baadhi yake kama ifuatavyo:
Hapo ndipo zikatokea nadharia ya kupinga uwepo na ukweli wa Dini kwakuwa tu mafunzo ya Dini haziendani na tija za tafiti ambazo hutoa majibu ya uhakika, na kutoka na kauli mbiu hii kuwa Dini...........
Maadui wa Uislamu wamekuwa wakiutuhumu Uislamu kwamba, ni dini ya kutumia mabavu na kwamba, inapinga haki za binaadamu na kwa msingi huo kufanya njama za kuwaogopesha na Uislamu wananchi walioko katika ulimwengu wa Magharibi. Hata hivyo .......